Majmui ya picha za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Majmui ya picha za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Majmui ya picha za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Majmui ya picha za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu inaletwa kwenu wapenzi na wafuatiliaji wa mtandao huu
Wasifu
Historia Fupi ya Maisha ya
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Ayatullah Udhmaa Sayyid Ali Khamenei (daama dhilluh)
"Mtafuteni mtu mmoja mfano wa Sayyid Khamenei ambaye
ameshikamana barabara na Uislamu na ni mtumishi wa umma,
na ambaye amedhamiria kwa dhati ya moyo kulitumikia taifa hili,
muone kama mtampata mtu kama huyo aliye mfano wake yeye.
Mimi ninamjua yeye kwa mia...

Anwani nyingine

Masharti ya Uongozi

Masharti Mawili Makuu

Masharti ya dharura ya uongozi yanatokana moja kwa moja na muundo wa serikali ya Kiislamu. Baada ya masharti ya kimsingi kama vile kuwa na akili timamu na tadbiri, kuna masharti mawili makuu yanayopaswa kuzingatiwa katika kiongozi wa dola la Kiislamu ambayo ni:
1- Utambuzi wa sheria
2- Uadilifu.