Rais wa Azerbaijan akizungumza na Kiongozi Muadhamu
Rais wa Azerbaijan akizungumza na Kiongozi Muadhamu
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu:

Utawala wa Kizayuni unataka kudhoofisha uhusiano wa Iran na Azerb

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa dini ya Uislamu ni sababu kuu inayoifanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ijihisi kuwa na ukuruba na udugu na watu na viongozi wa Azerbaijan.
Matatizo yote ya M/Kati yanasababishwa na Marekani
Matatizo yote ya M/Kati yanasababishwa na Marekani
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alasiri ya leo (Jumamosi) amemkaribisha ofisi kwake Waziri Mkuu wa Sweden Stefan Lofven aliyeko safari hapa mjini Tehram
Katika mazungumzo hayo Ayatullah Khamenei ameashiria uwezo mkubwa wa nchi mbili za Iran na Sweden kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na kusema kuwa: Iran inakaribisha suala la kustawisha ushirikiano wa pande mbili katika nyanja z...

Anwani nyingine

Ayatullah Khamenei: Marekani inawaogopesha wawekezaji wa kigeni kuwekeza Iran
Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran leo asubuhi (Jumatano) katika kuwadia Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambayo ni Mei Mosi amekutana na maelfu ya wafanyakazi na huku akiisifu jamii ya wafanyakazi nchini kutokana na uaminifu na uthabiti wao kwa Mapinduzi na Mfumo wa Kiislamu, amesisitiza juu ya kutatuliwa matatizo yao, kuimarishwa uzalishaji wa bidhaa za ndani ya nchi, udharura wa kupambana vilivyo na magendo ya bidhaa na kuzuiwa uagizaji kutoka nje wa bidhaa ambazo ni sawa na zile zinazozalishwa ndani ya nchi.
Hotuba ya Kiongozi katika hadhara ya watu wa Najaf Abad
Bismillahir Rahmanir Rahim (1)
Hamdu zote zinamstahikia Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu na salamu na swala zimwendee Bwana wetu Muhammad na Aali zake watoharifu na laana ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya maadui wao wote.
Nikakukaribisheni nyote ndugu na dada wapendwa wa Najaf Abad ambao kwa hakika na kwa kusema ukweli mmekuwa na mngali ni mfano wa wanaume na wanawake wa kimapinduzi, waumii na wa kujitolea katika vipindi vyote vya Mapinduzi. Mimi ninasadikisha na kuunga mkono kile ambacho amekisema Bwana Hasanati kuhusiana na Najaf Abad.